Miss
Sinza 2012, Brigitte Alfred, akiwa mwenye tabasamu kali la furaha baada
ya kufanikiwa kuvikwa taji la Miss Sinza 2012 katika Shindano la Miss
Sinza 2012 lilifanyika usiku wa kuamkia Juni 13,2012 katika Ukumbi wa
Mawela Sinza Jijini Dar es Salaam. Brigitte mrembo aliyekuwa chaguo la
wengi ukumbini hapo licha ya kuchuana vikali na mshindi wa pili na
watatu aliwashinda warembo wengine 13 waliokuwa wakiwania taji hilo
pamoja nae.
Miss
Sinza 2012, Brigitte Alfred (katikati) akipunga mkono katika picha ya
pamoja na mshindi wa pili Judith Sangu (kushoto) na mrembo aliyeshika
nafasi ya tatu Esther Mussa. Shindano la Miss Sinza 2012 lilifanyika
usiku wa kuamkia Juni 13,2012 katika Ukumbi wa Mawela Sinza Jijini Dar
es Salaam.
Miss Sinza Talent 2012, Maria John akikabidhiwa zawadi yake na Mkurugenzi wa SUFIANI MAFOTO BLOG.
Warembo
waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora na kupata tiketi ya kushiriki
Miss Kinondoni 2012 wakipozi kwa picha jukwaani. Kwa picha zaidi bofya hapa
Comments