HAPA WEMA AKIFUNDISHWA KUCHEZA MUZIKI
HAPA WEMA AKAJIFANYA AMESHAANZA KUFAHAMU KUCHEZA MIONDOKO ALIYOFUNDISHWA
HAPA WEMA ALIVUTIWA SANA NA WATOTO HAWA AKAAMUA KUPIGA NAO PICHA. HABARI ZAO UTAZIPATA BAADA YA SIKU CHACHE ZIJAZO
BONGO
MOVIE-WEMA SEPETU AKIWA KATIKA CHARITY EVENT-ARUSHA WIKI ILIYOPITA,
ALIWAULIZA WATOTO YEYE NI NANI.. ALL OF THEM WALISEMA WEWE WEMA SEPETU
TUNAKUONAGA KATIKA MAGAZETI NA TV. NAJIULIZA HAWA WATOTO WADOGO HIVI
HAYO MAGAZETI WANAYAONAJE? NA WAPI... ILA HUYU PICHANI NDO ALIWAACHA
WATU MIDOMO WAZI.. ALIWAAMBIA WENZAKE.. MMEKOSEA, HUYU ANAITWA WEMA
"DIAMOND". WEMA ALITOA MACHO KAMA KAKABWA NA MFUPA.. ILIBIDI APIGE NAE
PICHA. (PICHA, MAELEZO KWA HISANI YA ODAMA 1.BLOGSPOT)
Comments