Timu
ya waokozi tokea siku ya kwanza ambapo walifanikiwa kuokoa maisha ya
ndugu zetu zaidi ya mia na kuwastiri waliofariki baada ya kuwatoa
baharini, Timu hiyo imejumuisha divers kutoka: Easy Blue Divers, Umoja
wa Wazamiaji kutoka Kojani, KMKM, Jeshi, Polisi na Fire.
Wazamiaji
(Kushoto) Khaleed Gwiji na Omari, wakijianda katika zowezi zima la
kuzamia na kutafuta miili ya ndugu zao walio athirika katika ajali ya
Meli ya Skagit iliozama karibu na kisiwa cha chumbe July 18, 2012 huko
Zanzibar
Blog ya swahilivilla pamoja na
wadau wote wanatoa pongezi za dhati kwa kazi mzuri mlioifanya poleni
sana kwa machofu M/mungu ndio atakao walipa na kama kuna mchango wowote
wa vivaa hawa ndio wakupewa na kusajiliwa katika uokowaji wa kishujaa
Zanzibar Hongereni sana.Inatoka kwa mdau.
Comments