Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Independent iliyo
jijini Dar es Salaam,Owen Karonga na Carine Maro ambao waliibuka
washindi kwaa kuwanadhifu katika hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu
ya kidaoto cha Nne na cha sita iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre
Theatle Oysterbay ,Kulia ni Mkurugenzi wa Elements Events Saida Kapinga
ambaye ndiyealiyeandaa hafla hiyo.kushoto ni Mwalimu wa Wanafunzi hao.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam
Independent ya jijini Dar es Salaam, wakionyesha vipaji vyao vya
kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya
kidato cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events
katika Ukumbi wa Litre Theatle.
Wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya
kidato cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events
katika Ukumbi wa Litre Theatle.
jijini Dar es Salaam,carine Maro ambaye aliibuka Mshindi wa kuvaa
vizuri kwa upande wa wasichana na Owen Maronga ambaye pia aliibuka
mshindi kwa upande wa wanaume wakionyesha vipaji vyao vya kusakata
muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya Kidato cha
Nne na Cha sita hafla hiyomiliandaliwa na Elements Events ya jijini Dar
es Salaam.(Picha kwa ihsani ya full shangwe)

Comments