Wakiwa
na nyuso za furaha kwamba mpang mzima ulikwenda kama walivyopanga
kutoka kushoto ni Samir kati ni Kijoka kikukuu na mwenye tai ni mratibu
wa shughuli bwana Allya Khamis akiwa na furaha sana.
Dj Bushman mwenye t-shirt ya manjano akiwa na jamaa zake wa karibu katika kufaniksha show na mpango mzima wa muziki.Inatoka kwa mdau.
Comments