Skip to main content

Chipukizi la Taifa Stars Latua Yanga kwa Kitita cha sh. milioni 20

Viongozi wa klabu za Simba, Yanga na Azam walitia maguu kwenye kambi ya
Timu ya Taifa  na kila mmoja alikuwa akitaka kiuongo huyo chipikizi Frank Domayo amwage wino , kiungo huyo   pia ukipiga
 klabu ya JKT Ruvu
Ni  Yanga iliyofanikiwa kumnasa nyota huyo na kumsainisha mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya sh. milioni 20.

Comments