Kampeni ya Kubandika Stika Zenye Namba za Simu za Vituo Mbalimbali Vya Polisi Ambazo Abiria Watazitumia Kwaajili ya Kutoa Taarifa za Usalama na Matukio ya Uvunjifu wa Sheria Barabarani Yazinduliwa Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Moshingi akibandika stika hizo.
Mmoja wa Madereva waliokabidhiwa Stika hizo kwaajili ya kuzibandika kwenye magari.
Kamanda Mkuu wa Kikosi Cha Usalama Barabarani akizungumza na Waandishi
wa Habari Mara baada ya kuzindua kampeni ya kubandika stika zenye namba
za simu za vituo mbalimbali ambazo abiria watazitumia kwaajili ya kutoa
taarifa za usalama na matukio ya uvunjifu wa sheria barabarani. Kampeni hiyo inadhaminiwa na benki ya posta (TPB) .Inatoka kwa mdau.
Comments