Mbunge wa Kuteuliwa James Fancis Mbatia akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012.
Spika
wa Bunge Anne Makinda akimkabidhi kanuni za Bunge Mbunge wa Kuteluliwa
James Mbatia baada ya kumwapisha, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12,2012.
Mbunge wa Kuteuliwa, Sospeter Mwijarubi Muhongo akiapa, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12, 2012.
Mbunge wa Kuteuliwa Janet Zebedayo Mbene akiapa, Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012.
Mbunge wa Kuteuliwa Saada Mkuya Salum akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa
(kushoto) na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu
Nchemba na Mbunge wa Viti Maalum Rose Kamili Sukum kwenye viwanja vya
bunge Mjini Dodoma, Juni 12,2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa
(kushoto) , Mbunge wa Viti Maalum Leticia Nyerere (kuli) na Mbunge wa
Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma Juni 12,2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Felister
Bura, kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Pauline
Gekul na watoto wake Irene (kushoto) na Inocentia kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma Juni 12,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Comments