Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akizungumza na walimu wa shule za sekondari na za msingi mjini Mafinga
mkoani Iringa, leo katika ukumbi wa Southern Highland, ikiwa ni sehemu
ya ziara yake ya kukagua utekelezaji ilani ya Chama tawala cha CCM
mkoani humo. Katika mazungumzo hayo Nape alipata fursa ya kusikiliza
kero za walimu na kujadili nao jinsi ambavyo serikali itakavyoweza
kuyatatua.
Walimu
wa shule za sekondari na msingi wa mjini Mafinga, wakimsikiliza Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
alipozungumza nao leo kwenye ukumbi wa Southern Highland mjini Mafinga
mkoani Iringa. (Picha zote na Bashir Nkoromo
Comments