Waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Willy Edward nyumbani kwao Molotonga, Mugumu Mjini, Serengeti, mkoani Mara, leo
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward.
Baba wa marehemu Willy Edward, Edward Ogunde akilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa nmwili wa mwanawe
Watoto wa marehemu Willy Edward, Colman na Careb wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao.
Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacquiline Liana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward nyumbani kwao marehemu Molotonga, Mugumu Mjini.
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kapteni mstaafu James Yamungu akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward.
Mjane wa aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, marehemu Willy Edward, Rehema akimbusu mumewe wakati wa kuuaga muda mfupi kabla ya maziko nyumbani kwao Molotonga, Mugumu Mjini, Serengeti jana.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mara, Hilikia Omindo akiiongoza familia ya marehemu Willy Edward kuweka udongo kwenye kaburi wakati wa maziko.
chanzo. Kamanda wa matukio:http://richard-mwaikenda.blogspot.com
Comments