Mkali kutoka pande za Tanga ambaye maskani yake kwa sasa ni
Dar-es-Salaam Ismail sadick a.k.a Sumalee ambaye kwa sasa ana datisha
kila pande na songi lake la ''hakunaga''. Jamaa anastahili kupewa
heshima yake,unajua kwa nini? Jibu ni kuwa ni wasanii wachache sana
ambao wanaweza kupotea kwa muda mrefu kwenye gemu la mziki alafu wakawa
na uwezo wa kurudi katika levo ileile iliyozoeleka.
Sumalee ameanzia mbali,tangu akiwa na kundi la Parklane na enzi hizo maskani yao ikiwa mitaa ya Bombo Tanga,kundi likiwa na wasanii kibao. Na baadae akaja akaungana na Cp a.k.a Cpwaa na wakatoa albam iliyoitwa 'Nafasi nyingine'. Ikiwa na tracks kali kama Aisha Aisha,Nafasi nyingine.
Tazama video ya Hakunaga!!!! Inatoka kwa mdau .

Comments