Mrembo
Lisa Jensen akipunga mkono kwa wapenzi wa masuala ya urembo
waliohudhuria katika shindano dogo la Redds Miss World Tanzania
lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye jijini Dar es salaam na
kushirikisha warembo 10 waliowahi kushiriki mashindano hayo miaka
mbalimbali iliyopita, Lisa Jensen ataIwakilisha Tanzania katika shindano
la Miss World litakalofanyika nchini Mongolia mwishoni mwa mwaka huu
Kutoka Fullshangweblog
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments