Skip to main content

Kama Kiota cha Mzalendo Pub Ujawai Fika Wewe Anga za Disko cha Mtoto Tanzania

"......aaaahhhhh.... ahmadaa eehhh,ahmadaaa........ Umelewaaa" Bi. Kidude akisakata magoma usiku wa mmoja kuamkia jumapili  ndani ya kiota cha maraha cha mzalendo Pub Jijini Dar es salaam.
Dj Mackay akimkaribisha Bi. Kidude ndani ya flava nite huku akimuhesabia Bi. Kidude kitu cha jiwe (shilingi laki moja bila chenji) kama ishara ya baraka walizopokea kutokana na ujio wake katika kiota hicho.
Dj Bon Lov  na usiku wa  Fleva nite akiwa Bi. Kidude ambaye alifika kwenye kiota cha mzalendo pub katika libeneke zima na flava nite ili kutia baraka kwa vijana wake kina Bon Lov.kushoto ni mdau.Ilidiso limekuwa na hali tofauti kitaa wanyamwezi tunao penda bata japo huwa stori za madisco yote huwa tunazo data zoteee katika usiku mzima wa wikiendi hapo Mzalendo  nimwisho kabisa asikwambie mtu ,Dj Bon mshikajiwangu sana lakini ndiye mmoja wa ma dj wenye heshima kubwa bara la Africa licha ya Mkali Pinyee wa nchini Kenya kuwa na balaa kama la Bon , japo kuwa ma dj wanaochipukia kwa sasa wanapata pesa kwa haraka lakini harakati za Bon watakaa sana kuzifikia hacha tuuu mkubwa awe mkubwaaaaa.

Comments