Jana mke wa rais Barack Obama, Michelle aliweka picha kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomwonesha akiwa amekumbatiana na mumewe wakicheza muziki. Ni picha nzuri kwakweli, inaonesha kwa hakika kabisa kuwa hawa ni miongoni mwa best couples in the world.
Pamoja na stress za cheo kikubwa kabisa nchini Marekani cha urais na
pressure za ‘haters’ wakati uchaguzi wa nchi hiyo ukikaribia, Obama
hajataka kuziruhusu zimwondolee wajibu wake wa kutoa mahaba mazito kwa
mkewe. Sura ya Michelle inaonekana nusu kwakuwa picha imepigwa mgongoni
mwa Obama, lakini unaweza kuiona sura yake ilivyo na tabasamu lenye
upendo usio na kifani kwa mumewe! They just look lovely!
Angalia jinsi mikono yao ilivyoshikana!! Isn’t that sexy guys? Na hebu uangalie mdomo wa Obama, anapiga mluzi sio? Safi sana.
By the way, mpaka leo asubuhi picha hii ilikuwa ina likes 169,527 , comments 8,784 na kusambazwa (shared) mara 13,409.
So watu wanaiongeleaji picha hii?
Continue reading
By the way, mpaka leo asubuhi picha hii ilikuwa ina likes 169,527 , comments 8,784 na kusambazwa (shared) mara 13,409.
So watu wanaiongeleaji picha hii?
Continue reading
Comments