Skip to main content

DAVIES MWAPE ATAKIWA NA CLUB MBILI SOUTH Davies Mwape Na Wilbert Molandi UWEZEKANO wa mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Davies Mwape, kuendelea kuichezea timu hiyo ni mdogo baada ya hivi karibuni kutamka kuwa anatakiwa na klabu mbili nchini Afrika Kusini. Mshambuliaji huyo raia wa Zambia, wiki iliyopita alitua nchini akitokea kwao ambapo anakamilisha taratibu za kuihama klabu hiyo kwa kuwa ameonekana hana msaada mkubwa kikosini. Akizungumza na Championi Jumatano, Mwape alisema klabu mbili za Afrika Kusini zinamhitaji kwa ajili ya kwenda kuzichezea katika msimu ujao wa ligi kuu ya nchini humo. Mwape alisema wakala wake ambaye hakutaka kumtaja jina, ndiye anashughulikia usajili wake lakini Mzambia huyo aliyeifungia Yanga mabao sita msimu uliopita, amesita kuzitaja timu hizo akidai atafanya hivyo baada ya taratibu za uhamisho kukamilika. Mkataba wa mshambuliaji huyo aliyetua Yanga kwa makeke Juni 2010, lakini akashindwa kufanya kile kilichotarajiwa na mashabiki, unatarajiwa kumalizika Oktoba, mwaka huu. “Klabu mbili za Afrika Kusini zimeonyesha nia ya kunisajili kwa ajili ya msimu ujao wa ligi, lakini kabla ya kusajiliwa nitaenda huko kufanya majaribio. “Kuzitaja timu hizo kwa sasa siwezi, kwani bado ni mapema, baada ya kumalizana kila kitu nitaziweka wazi, wakala wangu bado anaendelea kufanya mazungumzo,” alisema Mwape. Mwape aliiwezesha Yanga kutwaa taji la ubingwa msimu wa 2010/11 na ubingwa wa Kombe la Kagame 2011.


Davies Mwape
Na Wilbert Molandi
UWEZEKANO wa mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Davies Mwape, kuendelea kuichezea timu hiyo ni mdogo baada ya hivi karibuni kutamka kuwa anatakiwa na klabu mbili nchini Afrika Kusini.
Mshambuliaji huyo raia wa Zambia, wiki iliyopita alitua nchini akitokea kwao ambapo anakamilisha taratibu za kuihama klabu hiyo kwa kuwa ameonekana hana msaada mkubwa kikosini.
Akizungumza na Championi Jumatano, Mwape alisema klabu mbili za Afrika Kusini zinamhitaji kwa ajili ya kwenda kuzichezea katika msimu ujao wa ligi kuu ya nchini humo.
Mwape alisema wakala wake ambaye hakutaka kumtaja jina, ndiye anashughulikia usajili wake lakini Mzambia huyo aliyeifungia Yanga mabao sita msimu uliopita, amesita kuzitaja timu hizo akidai atafanya hivyo baada ya taratibu za uhamisho kukamilika.
Mkataba wa mshambuliaji huyo aliyetua Yanga kwa makeke Juni 2010, lakini akashindwa kufanya kile kilichotarajiwa na mashabiki, unatarajiwa kumalizika Oktoba, mwaka huu.
“Klabu mbili za Afrika Kusini zimeonyesha nia ya kunisajili kwa ajili ya msimu ujao wa ligi, lakini kabla ya kusajiliwa nitaenda huko kufanya majaribio.
“Kuzitaja timu hizo kwa sasa siwezi, kwani bado ni mapema, baada ya kumalizana kila kitu nitaziweka wazi, wakala wangu bado anaendelea kufanya mazungumzo,” alisema Mwape.
Mwape aliiwezesha Yanga kutwaa taji la ubingwa msimu wa 2010/11 na ubingwa wa Kombe la Kagame 2011.Inatoka kwa  mdau Lukaza.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.