Waziri
wa Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame
akiwa pamoja na Waziri wa Katiba na sheria wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar ndani ya Baraza la Wawakilishi huko Mbweni nje ya Mji wa
Zanzibar.
Mwakilishi
wa Jimbo la Magomeni Salmin Awadh Salmin kushoto akibadilishana Mawazo
na Mwakilishi wa Kuteuliwa Asha Bakari na (picha ya pili kulia) Katibu
wa Ofisi ya Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akibadilishana mawazo
na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui nje ya
Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Waziri
wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohd Aboud Mohd
akitoa hotuba ya Makadirio na Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka
2012/2013 huko katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa
Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai Habari maelezo Zanzibar
Comments