Mcheza filamu wa kimataifa wa Nigeria, Omotola Jalade akijaribu kuvaa
kanga aliyozawadiwa na mwenyeji wake, msanii nyota wa fani hiyo nchini,
Wema Sepetu.
Msanii
nyota wa filamu nchini, Wema Sepetu akimkabidhi zawadi ya kanga, viatu
na shanga, mcheza filamu wa kimataifa wa Nigeria, Omotola Jalade muda
mfupi kabla hajapanda ndege na kurejea kwao Nigeria juzi usiku. Kushoto
ni Mkurugenzi wa Kampuni ya One Touch Solutions, Petter Mwendapole na
katikati ni mwigizaji, Snura. Inatoka kwa mudau.
Comments