
Pd akiwa amebeba "Monstrance" inayokuwa na ekaristi takatifu,wakati wa maanadamano

Askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba,Mhashamu Methodius Kilaini

Watawa wa kike "masista" wakiwa kwenye maandamano

Wanafunzi wa upadri "Mafrateri" wa seminari kuu ya Ntungamo katika maandamano

Watoto wa utoto mtakatifu "Vipapa" wakiwa katika maandamano na wakimwaga maua mbele ya sakramenti kuu
Picha kwa hisani ya Bukobawadau blog
Comments