Stars yajipanga Kutoa Dozi kwa kuikabili Gambia J'pili
Mrisho Ngassa ambaye ni mshambilizi wa Taifa Stars akimtoka beki wa
Ivory Coast, Siaka Tiene wakati wa mechi ya kusaka kufuzu kucheza
michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwenye uwanja wa Felix
Houphouet-Boigny, mjini Abidjan juzi ambapo Stars ilifungwa mabao 2-0.
Comments