Jamii zetu zinazoendelea zinahitaji sana Elimu.
Elimu itakayotusaidia kupambana na maadui kama : kutojua kupanga muda
(Time Management) tatizo linalotufanya tuchelewe, tusiwe na mpangilio
wa maisha ; halafu, kutoyajali mazingira yetu (vyoo vichafu na kutupa
taka ovyo).
Wataalamu wameshatuonya kuwa makaratasi ya plastiki tunayoyaacha kiholela kila mahali (yenye madawa hatari) yanaharibu rutuba na uhai ; yatakaa ardhini miaka 500 !!! inatoka kwa mdau.
Comments