![]() |
| Wabunge
karibu 10 nchini Zimbabwe wametahiriwa kama moja wapo ya hatua zao ya
kukabiliana na kusambaa kwa virisi vya Ukimwi nchini humoNjee ya
majengo ya bunge mjini Harare , kulijengwa zahanati ndogo kwa sababu ya
shuhuli hizo za kuwapasha wabunge tohara. Blessing Chebundo, ambaye ni mwenyekiti wa wabunge wanaopambana na Ukimwi amesema nia yake hasa ya yeye kuamua kupashwa tohara ni kuchochea wanaume nchini Zimbabwe kutairiwa. Bwana Chebundo anasema kuna wabunge zaidi ya 120 na wafanyikazi wa bungeni ambao wameonyrsha nia yao ya kutairiwa. Shirika la afya duniani WHO linasema kupasha tohara kunapunguza atari ya wanaume kuambukizwa virusi vya Ukimwi kwa asilimia 60. Zimbabwe ni moja wapo wa mataifa 13 barani Afrika ambapo mwaka wa 2007 shirika la WHO inasema kuna haja kubwa ya kuanzisha harakati za kuwatahiri wanaume. Jana, wabunge hao walijitokeza hadharani ili kupimwa hali yao ya Ukimwi. Wabunge hao wanachochea wanaume nchini Zimbabwe kukubali kutahiriwa, kama njia mojawapo ya kupumguzu maambukizi ya virusi vya ukimwi. Hii nikutokana na takwimu za hivi karibuni zinazoonyesha kuwa karibu robo ya wanaume wote nchini Zimbabwe wameambukizwa virusi.BBC pia nimeipata kwa mdau. |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments