Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Kilimo, Chakula na
Ushirika, Christopher Chiza kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma Juni
26, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Moshi Mjini Philemon
Ndesamburo (kushoto ) na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni Juni 26,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki
Lulida (katikati) na Mbunge wa Mchinga,Said Mtanda kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma Juni 26,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Comments