Skip to main content

WAKUBALIANA KUWARUDISHA WANAFUNZI 62 WALIOFUKUZWA.


Naibu Katibu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bw. Selestine Gesimba (katikati) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu makubaliano baina ya Serikali na Viongozi wa Taasisi za Kiislamu kuhusu mgogoro wa shule ya Sekondari Ndanda iliyoko Masasi mkoa wa Mtwara leo jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine serikali itawarudisha shuleni mwaka huu wanafunzi wote 62 waliohusika na mgogoro wa shule hiyo. Wengine kutoka kushoto ni Sheikh Musa Kundecha, Amir wa Baraza kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania na Bw. Samweli Kusaga kutoka Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi, Idara ya Sekondari. (PICHA NA ARON MSIGWA WA MAELEZO- DAR ES SALAAM)
Viongozi wa Taasisi za Kiislamu Tanzania wakiongozwa na Sheikh Musa Kundecha (pili kutoka kulia) ambaye ni Amir wa Baraza kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania wakijadili jambo na Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa Kiislamu Tanzania (TAMSYA) Jaafar Mneke (katikati) leo jijini Dar es salaam mara baada ya kumalizika kwa mkutano uliojadili makubaliano baina ya Serikali na Viongozi wa Taasisi za kiislamu kuhusu mgogoro wa shule ya sekondari Ndanda.
Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa Kiislamu Tanzania (TAMSYA) Jaafar Mneke (kulia) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari ya kusitishwa kwa maandano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kesho nchini nzima kufuatia makubaliano yaliyofikiwa kuhusu mgogoro wa shule ya sekondari Ndanda.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Ndanda waliosimamishwa masomo kufuatia mgogoro wa shule hiyo wakifuatilia tamko la makubaliano ya viongozi wa dini ya kiislamu na Serikali lililotolewa leo jijini Dar es salaam na Naibu Katibu mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bw. Selestine Gesimba kufuatia mkutano wa pamoja uliofanyika tarehe 7 mwezi huu.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Ndanda waliosimamishwa masomo yao kufuatia vurugu zilizotokea katika shule hiyo wakitoka ndani ya jengo la Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kusoma makubaliano uliowahusisha viongozi wa dini ya Kiislamu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na waandishi wa habari ambapo makubaliano hayo yameeleza kuwa serikali itawarudisha shuleni wanafunzi wote 62 waliosimamishwa,kuhakikisha kuwa shule ya sekondari Ndanda ina mazingira mazuri kwa wanafunzi wa dini zote kitaaluma na kuwawezesha kufanya ibada zao, shule zote zilizotaifishwa ni miliki ya serikali kiuendeshaji, ardhi na majengo vyote ni mali ya serikali na serikali kufanya utaratibu wa kuwepo vikao na viongozi wa asasi za dini zote.
Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. SÅ‚awomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...