Spika wa Bunge akutana na ujumbe wa timu ya kujitathimini katika maswala ya Utawara Bora barani Afrika (Africa Peer Review Mechanism –APRM)
Katibu
Mtendaji wa APRM Bi. Rehema Twalibu akitambulisha ujumbe wa wataalam
wanaounda timu ya kujitathimini katika maswala ya Utawara Bora barani
Afrika (Africa Peer Review Mechanism –APRM) kwa mhe.
Spika. Ujumbe huo ulifika Bungeni leo kukutana na uongozi wa Bunge kwa
lengo la kujadili maswala mbalimbali katika utawala bora
Mwenyekiti
wa Bodi ya APRM Tanzania Prof Assa Mlawa akitoa neno la utangulizi mara
baada ya ujumbe huo kufika kuonana na Mhe Spika Ofisini kwake leo
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akijibu baadhi ya maswali yaliyokuwa
yakiulizwa na wajumbe wa timu ya kujitathimini katika maswala ya Utawara
Bora barani Afrika (Africa Peer Review Mechanism –APRM) mara baada ya
ujumbe huo kukutana na uongozi wa Bunge dar es Salaam leo. Kushoto kwake
ni kiongozi wa ujumbe huo Akere Tabeng Muna na kushoto ni mwenyekiti wa
bodi ya APRM Tanzania Prof. Hassa Mlawa
Naibu
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa
timu ya kujitathimini katika maswala ya Utawara Bora barani Afrika
(Africa Peer Review Mechanism –APRM) mara baada ya kukutana nao Ofisi za
Bunge Dar es salaam leo. Kulia kwake ni mwenyekiti wa bodi ya APRM
Tanzania Prof. Hassa Mlawa na Mhe. Anne Makinda Spika wa Bunge na
kushoto ni kaimu katibu wa Bunge Charles Mloka. Ujumbe huo ulifika
Bungeni leo kukutana na uongozi wa Bunge kwa lengo la kujadili
Wenyeviti
na Makamu wenyeviti wa kamati za Bunge wakisikiliza kwa makini baadhi
ya hoja zilizokuwa zikiulizwa na baadhi ya wajumbe wa timu ya
kujitathimini katika maswala ya Utawara Bora barani Afrika (Africa Peer
Review Mechanism –APRM) ambao walikutana na uongozi wa Bunge leo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya fedha za Umma (PAC) Mhe. John Cheyo akijibu baadhi ya
maswali kuhusu usimamizi wa Bunge katika maswala ya fedha za umma kwa
wajumbe wa timu ya kujitathimini katika maswala ya Utawara Bora barani
Afrika (Africa Peer Review Mechanism –APRM) ambao walikutana na uongozi
wa Bunge leo kujadili masala mbalimbali katika utawala bora
Comments