Mama Salma Kikwete Ashiriki Maadhimisho Ya Maulid Ya Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania(JUWAKITA)Mkoa Morogoro
Mwenyekiti
wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kiwete akisalimiana na Jumuiya ya
Wanawake wa Kiislamu Tanzania ( JUWAKITA) Mkoani Morogoro Machi 18.2012
alipohudhuria Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
yalioandaliwa na jumiya hiyo ya JUWAKITA.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (vazi
jeupe) akisindikizwa na Mwenyekiti Taifa wa (JUWAKITA) Shamim Khan,
(kushoto) ,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa
Halima Dendegu (wapili kutoka kulia) na Katibu Tawala Mkoa Morogoro
Mgeni Baruwani baada ya kumaliza sherehe ya Maulid ya kuadhimisha
kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) Machi 18,2012 katika Chuo Kikuu cha
Kiislam- Morogoro.
Wanafunzi wa madrasa wamsikiliza mama Salma Kikwete wakati alipokuwa akizungumza nao.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akiongea na
Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) kwenye sherehe ya
Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad( SAW) Machi 18,2012
katika Chuo Kikuu cha Kiislam- Morogoro,
Mke
wa Rias na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete(kulia) na
Mwenyekiti Taifa wa JUWAKITA Mama Shamim Khan kwa pamoja wakifuatilia
ratiba katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW)
katika Chuo cha Kiislam- Morogoro.Maadhimisho hao yameandaliwa na
Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoa Morogoro,Machi
18 2012,Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Comments