Skip to main content

Tevin Campbell mwanamziki alianza muziki tangu akiwa mdogo




MWANAMUZIKI, mwigizaji na mtunzi wa nyimbo, Tevin Campbell, alizaliwa Novemba 12, 1976 katika mji wa Waxahachie, Texas, Marekani, na alikuwa akipenda muziki tangu akiwa mdogo.

Campbell alianza kwa kuimba nyimbo za kwaya kanisani, kwanza kama mwanachama wa kwaya, na kisha mpiga solo katika Kanisa dogo la Jacob katika nji mdogo wa kusini mwa Dallas, Texas.

mwaka 1988, rafiki wa mama yake alimtaharisha Campbell kuimba na mwanamuziki wa jazi, Bobbie Humphrey, njini New York ili wamwimbie. Humphrey alimpenda Campbell na kuikabidhi kanda ya muziki aliyoimba naye kwa Warner Bros.

Hii ilipelekea kufanyika mkutano na Benny Medina, makamu wa rais wa Warner na maneja mkuu wa mauzo ya muziki wa watu weusi.

Campbell alitambulishwa kampuni ya R&B World na Quincy Jones mwaka 1989. Nyimbo ya kwanza singo ya Campbell inaitwa "Tomorrow (A Better You Better Me)" ambayo ilishika nafasi na.1 katika chati za Billboard za muziki singo za R&B/Hip hop mwaka 1990.

Baada ya kufanya kazi na Jones na watunzi na maprodyuza akiwemo Siedah Garrett,Campbell alifanya kazi pia na maprodyuza kama Narada Michael Walden, Al B. Sure, Babyface, na wengineo kurekodi muziki wa ziada.

Nyimbo ya Campbell akiwa peke yake inaitwa "Round and Round", ambayo ilishika nafasi ya tatu katika chati za R&B mwaka 1990. Mwaka 1991 Campbell alitoa albamu kwa jina T.E.V.I.N, ikiwa ya kwanza baada ya mafanikio ya singo zake mbili, "Tell Me What You Want Me To Do,"   "Alone with You", ikifuatiwa na "Goodbye".

Albam yake ya pili iliitoa 1993 ikibeba jina la 'I'm Ready', maprodyuza wakiwa Jones na Medina. "Nilitaka kutoa albamu yangu ya pili kuonesha ukomavu wangu wa akili kwa sasa," Campbell alimweleza J. R. Reynolds katika gazeti la Billboard.

"Albamu yangu ya 'I'm Ready' inazungumzia mimi kwa sababu ya mambo mengi yaliyonisibu miaka minne iliyopita au zaidi. Natumaini watu watatambua mimi si mtoto tena kama ilivyokuwa kwenye albamu yangu ya kwanza."

Mwaka 1994, Campbell alitoa singo nyingine, "U Will Know," akiwa na kundi la muziki wa R&B la Black Men United, kundi ambalo pia lilimjumuisha mwimbaji Usher. Mwaka 1995 alitoa nyimbo mbili "Eye to Eye" na "Stand Out.



Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFANYA MAHOJIANO NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo  linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...