Wanafunzi
kutoka katika Skuli ya Uroa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
wakitoa burudani katika Maadhimisho ya siku ya Kiswahili Zanzibar
14/03/2012 huko katika Ukumbi wa Eacrotanal mjini Zanzibar.
Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Abdalla Mwinyi akitoa hotuba katika
Maadhimisho ya siku ya Kiswahili Zanzibar 14/03/2012 huko katika Ukumbi
wa Eacrotanal mjini Zanzibar. Kushoto yake ni Naibu Waziri wa Habari
Utamaduni Utalii na Michezo wa Zanzibar Bihindi Hamadi Khamis na kulia
kwake ni Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili la
Zanzibar (BAKIZA)Sudi Mohd Masoud
.PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI ALI -MAELEZO ZANZIBAR -14/03/2012.
Comments