Skip to main content

Rais Kikwete Azungumza na Wazee wa Dar es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa Dar es salaam leo katika Ukumbi wa Diamond Jubileejijini Dar. Kulia ni Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akifuatuwa na Mkuu wa Mkoa huo, Mh. Saidi Meck Sadick na (kushoto) ni Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akiwa na Mwenyekiti wa wazee wa Dar es salaam, Mh. Iddi Simba.
Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam, Mh .Iddi Simba akitoa kura ya shukrani.
Wazee wa Dar es salaam wakimsikiliza Rais Kikwete.Picha kwa hisani ya Matukio-Michuzi Blog

Comments