Ofisi ya Vitambulisho Zanzibar Yatunukiwa Vyeti vya Ubora wa Kimataifa vya Utengenezaji Vitambulisho
Mkurugenzi
wa Vitambulisho Zanzibar Mohammed Juma Ame, akitowa maelezo ya
mafanikio yao ya kushida katika kiwango cha Kimataifa cha Utengenezaji
wa Vitambulisho, wakati wa sherehe za kutunukiwa Vyeti hivyo iliofanyika
katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Mazizini.
Katibu
Mkuu wa Ofisi ya Rais Ikulu Salum Maulid, akizungumza katika sherehe za
kukabidhi Vyeti vya Ubora wa Kimataifa wa Utengenezaji Vitambuliza,
zilizofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Mazizini.
Wafanyakazi
Ofisi ya Vitambulisho wakiwa makini kusubiri kupoke Vyeti vyao vya
Ubora wa Utengenezaji Vitambulishi Kimataifa, kwa kazi inzuri
wanayofanya kuboresha utegenezaji wa Vitambuli hivyo hapa Zanizbar na
kutowa huduma hiyo kwa Taasisi mbalimba.
Wazee
wa meza kuu wakimsikiliza Avraham Rost, Lead Auditor
Quality&Certification Division, akizungumza katika sherehe hizo za
kukabidhi Vyeti vya Ubora wa Kimataifa vya Utengenezaji Vitambulisho,
kwa Ofisi ya Vitambulisho Zanzibar
Mameneja
wa Ofisi ya Vitambulisho Zanzibar wakiwa makini wakimsikiliza Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Salum Maulid, akitowa nasaha zake kwa
Wafanyakazi wa Ofisi hiyo.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Salum Maulid, akiwa na kimoja ya Vyeti vya
Ubora wa Kimataifa vya Utengenezaji Vitambulisho,kulia Lead Auditor,
Quality&Certification Division Avraham Rost, Mkurugenzi wa
Vitambulisho Zanzibar Mohammed Juma Ame,Securty &Quality Consultant
Securitree Inter. Ltd Israel, Merav Vered.Inatoka kwa mdau LUkaza.
Comments