Sehemu
ya umati uliokuwa kwenye kampeni za CHADEMA Kikatiti jana.ni hapa
ambapo jana saa saba hadi saa kumi,CCM na Lowasa walifanya mkutano,na
baadaye CHADEMA kufanya mkutano hapohapo Kikatiti.Leo ndiyo CHADEMA
wanahitimisha kampeni zao Tengeru walikohitimisha CCM jana pia.Tengeru
ndiyo nyumbani kwa mwanzilishi wa CHADEMA mzee Edwine Mtei
Msanii wa CHADEMA MwanaCotilde akihamasisha umma jukwaani,Kikatiti jana
Na Mjumbe aliye Arumeru
Comments