Waziri wa Ofisi ya Rais Utawala Bora Mathias Chikawe Azungumza na waandishi Wa Habari Juu ya Haki za Binaadamu Katika Nchi Yetu
Waziri
wa Ofisi ya Rais Utawala Bora Mathias Chikawe akitoa taarifa mbele ya
waandishi wa habari Ofisini kwake Machi 19.2012 kuhusu Haki za Binaadamu
katika nchi yetu. Baada ya kuhurudhuria mkutano wa Baraza la Usalama la
Umoja wa Mataifa Geneva –Uswiss hivi karibuni
Comments