Mgombea
wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akibebwa kwa shangwe
wakati wa mapokezi yake alipowasili kijiji cha Kimundo, Kata ya
Nkoariasambu kufanya mkutano wa kampeni.
Sioi akisalimia wananchi baada ya kuwasili katika kijiji hicho cha Kimundo, Nkoroasamb
Mgombea wa CCM Sioi Sumari akiwaskuhuru wananchi baada ya mkutano wa kampeni katika kijiji cha Kimundo kata ya Nkoriansambu.
Mfanyabiashara
ya baa katika kijiji cha Kimundo, Seuri Daniel akiwa ameweka picha ya
mgombea wa CCM Sioi Sumari Juu ya picha ya mgombea wa Chadema Joshua
Nassari katika eneo lake na biashara. (Picha zote na Bashir Nkoromo).Inatoka kwa mdau.
Comments