1. "Tupo na ninyi" wanafunzi wa shule ya msingi Msitu wa Mbogo
wakisema huku wakionyesha dole gumba msafa wa mgombea ubunge wa CCM
Sioi Sumari ulipowasili kwenye mkutano wa kampeni kwenye Uwanja uliopo
jirani na shule

2. Pamela Sioi akimuombea kura mumewe, mgombea ubunge wa CCM, jimbo la
Arumeru Mashariki, Sioi Sumari kwenye kampeni zilizofanyika kijiji cha
Shambarai kata ya Mbuguni jimboni humo leo.
3.Mama Sioi(wapili kulia) akihiriki kuselebuka muziki wa hamasa za
Chama, uliporomoshwa katika kijiji cha Msitu wa Mbogo kata ya Mbuguni
kabla ya kuanza kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimboni humo leo.
4. Sioi Sumari akiwaaga wapigakura wake baada ya kumaliza mkutano
katika kijiji cha Msitu wa Mbogo, leo. ( Picha zote: Bashir Nkoromo)Source Mjengwa.

Comments