Sioi akihutubia mamia ya watu Maji ya Chai ambako imnadaiwa kuwa ngome ya Chadema
Lusinde akiwachana CHADEMA kwenye ngome inayodaiwa yao Maji ya Chai
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiumba kura kwa
wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Maji
ya Chai jimboni humo, jana. eneo hilo linadaiwa kuwa ndiyo ngome ya
CHADEMA.
Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo
Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo
Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimnadi Sioi Sumari kwenye mkutano huo.
Na Bashir Nkoromo
Na Bashir Nkoromo
Comments