Mh. Mwenyekiti;
Shikamoo Kaka; natumai u mzima na unaendelea vyema na kazi zako za kila leo.
Asante na hongera kwa kazi nzuri sana katika kuuweka umma wa Watanzania na jamii nzima ya dunia kuwa – informed na updated.
Mimi ni miongoni mwa watembeleaji wazuri sana wa kurasa zako. Leo, naongelea ukurasa huu wa blog, ambapo nimeona ubunifu mkubwa, kuwa unaweka logo ya asasi Fulani tu, ukiigonga, unaingia kwenye tovuti zao.
Kazi nzuri sana. Ila nimejaribu hii ya LHRC, naona inanigomea. Naomba uipitie na kuiweka sawa.
Kila la kheri.
Ndimi, Rodrick

Mjengwa Blog inapenda kukujulisha mjumbe wa kijiji kuwa Tatizo hilo limeshashughulikiwa tunashukuru kwa kutupa ushirikiano,
"Pamoja Tuijenge Nchi yetu"Source www.mjengwa.blogspot.com

Comments