Basi
la Abiria la kampuni ya Super Najmunisa lifanyalo safari zake kati ya
Dar es Salaam na Mwanza,likimalizikia kuteketea kwa moto mara baada ya
kupata shoti ya betri.ajali hiyo imetokea jioni ya leo maeneo ya Berege
Mkoani Morogoro wakati basi hilo likiwa njiani kuelekea jijini Dar es
Salaam kutokea Mwanza.hakuna mtu yeyote aliedhulika kwenye ajali hiyo
isipokuwa mizigo yote ya abiria hao iliteketea kwa moto.
Sehemu
ya Abiria wa Basi hilo pamoja na wakazi wa maeneo ya jirani na kijiji
hicho wakiwa wamekaa pembeni kuangalia jinsi gari hilo linavyoteketea
kwa moto bila ya wao kujua la kufanya wakati huo.
Comments