Mke
wa Rais wa Kwanza wa Zanzbar marehemu Abeid Aman Karume Mama Fatma
Karume alie kushoto akiwa pamoja na Bi Yvon Mke wa aliekuwa Jaji Mkuu wa
Mwanzo wa Zanzibar Marehemu Wolfgang Dourado katika kanisa la Minara
miwili Shangani mjini Zanzibar katika ibada maalum ya kuuwaga mwili wa
Marehem Dourado.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiwa pamoja na
Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuuwaga
mwili wa Marehemu Wolfgang Dourado aliekuwa Jaji Mkuu wa Mwanzo wa
Zanzibar katika kanisa la Minara miwili Shangani mjini Zanzibar.
Balozi
Ali Karume akimfariji Mjane wa aliekuwa Jaji Mkuu wa Mwanzo wa
Zanzibar Wolfgang Dourado Bi Yvon Dourado katika kanisa la Minara
miwili Shangani mjini Zanzibar.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akichota Mchanga kwa
ajili ya kwenda kutia katika kaburi la aliekuwa Jaji Mkuu wa Mwanzo
wa Zanzibar Wolfgang Dourado aliezikwa huko kwerekwe katika Makaburi ya
Wakristo.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akienda kutia mchanga katika Kaburi la
aliekuwa Jaji Mkuu wa Mwanzo wa Zanzibar Wolfgang Dourado aliezikwa
huko kwerekwe katika Makaburi ya Wakristo
-Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiweka Shada la Mauwa katika Kaburi la
aliekuwa Jaji Mkuu wa Mwanzo wa Zanzibar Wolfgang Dourado aliezikwa
huko kwerekwe katika Makaburi ya Wakristo.
-Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akimpa Mkono wa pole Bi Yvon Dourado
Mjane wa aliekuwa Jaji Mkuu wa Mwanzo wa Zanzibar Marehemu Wolfgang
Dourado aliezikwa huko kwerekwe katika Makaburi ya Wakristo
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI MAELEZO ZANZIBAR.20/03/2012
Comments