Skip to main content

Taswira Za Rais wa Chama cha Madaktari nchini (MAT)na Makamu wa Rais wa MAT Wakitangaza Kusitisha Rasmi Mgomo Wa Madaktari


Rais wa Chama cha Madaktari nchini (MAT)Dk. Namala Mkopi akitangaza kumaliza mgomo wa madaktari, Dar es Salaam jana, baada ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete juzi. Kulia ni Makamu wa Rais wa MAT, Dk. Primus Saidia
Mwenyekiti wa Kamati ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka  (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana mchana, kuhusu uamuzi wao wa kusitisha rasmi mgomo wa madaktari nchini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka  (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana mchana, kuhusu uamuzi wao wa kusitisha rasmi mgomo wa madaktari nchini.Picha na Mdau Richard Mwaikenda

Comments