Skip to main content

TABORA MARATHON KUWEKA WAZI ZAWADI ZITAKAZOTOLEWA


Rais wa Riadha Tanzania (RT), Francis John (kati) akizungumza wakati wa utambulisho wa mbio za Tabora Marathon. Wengine ni waratibu wa mbio hizo ambazo zimekuwa gumzo kubwa mjini Tabora


KAMATI ya mbio za Tabora Marathon 2012, leo inatarajiwa kuanika zawadi za washindi wa mbio hizo za kwanza kihistoria kufanyika mkoani humo.Mbio za Tabora Marathon 2012 zinatarajiwa kurindima mjini Tabora Machi 10 na kushirikisha wakimbiaji kutoka mikoa mbalimbali ya Kanda ya Magharibi.Kwa mujibu wa Mshauri wa Ufundi wa Tabora Marathon, Tullo Chambo, leo watafanya jukumu hilo baada ya kufanikiwa kukamilisha maandalizi mbalimbali, ikiwamo wadhamini.Chambo alisema, licha ya ugumu wa upatikanaji wa wadhamini, lakini wanawashukuru waliojitokeza kufanikisha mbio hizo, ambazo ni chachu ya kuhamasisha mchezo huo na kuibua vipaji.“Kimsingi hadi kufikia hatua hii, tumehangaika usiku na mchana na ninawashukuru wapenda michezo wote walionyesha mapenzi mema na mchezo huu na Mkoa wa Tabora kwa ujumla, kwa kuweza kufanikisha kufanyika kwa mashindano haya ya kipekee katika historia ya mchezo wa riadha mkoani Tabora na Kanda ya Magharibi kwa ujumla,” alisema Chambo na kuongeza kuwa;Leo tutawaanika wote waliofanikisha mbio hizi katika mazingira magumu, pamoja na zawadi ambazo washindi watazawadiwa katika mbio hizo.Pia aliwapongeza viongozi wa serikali mkoani Tabora, chini ya RC, Fatma Mwasa, na viongozi wa Chama cha Riadha Mkoa wa Tabora, kwa ushirikiano wao uliofanikisha kufikia hatua hii.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. SÅ‚awomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...