Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizunagumza na Uongozi wa Baraza la
Wafanyabiashara,Wenye viwanda na Wakulima,Zanzibar walipofika ikulu
Mjini Zanzibar jana na walizungumzia masuala ya ushirikiano kati ya
sekta binafsi na sekta za Umma,(wa tatu kulia)ni Rais wa Jumuiya ya
wafanya Biashara na wenyeviwanda na wakulima,(Chamber) Mbarouk Omar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizunagumza na Uongozi wa Baraza la
Wafanyabiashara,Wenye viwanda na Wakulima,Zanzibar walipofika ikulu
Mjini Zanzibar jana na walizungumzia masuala ya ushirikiano kati ya
sekta binafsi na sekta za Umma,(wa pili kulia)ni Rais wa Jumuiya ya
wafanya Biashara na wenyeviwanda na wakulima,(Chamber) Mbarouk Omar.
Picha na Ramdhan Othman IKULU.
Comments