Skip to main content

YANGA YAICHAPA KIKWAJUNI 2-0 KOMBE LA MAPINDUZI

NaHamad Hija Maelezo zanzibar
MABINGWA wa soka Tanzania Bara timu ya Yanga ya Dar es salaam jana ilifufua matumaini ya kuendelea na michuano ya kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga timu ya Kikwajuni ya Zanzibar mabao 2-0 katika mchezo uliyochezwa katika kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar
Katika mechi hiyo ambayo Yanga ilishinda hapo jana kunako dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza ndipo Yanga walipoandika goli la kwanza kupitia kwa mshambuliaji wao Jerry Tegete ambaye aliukwamisha mpira huo wavuni ukimuacha mlinda mlango wa kikwajuni akiwa hana la kufanya
Yanga ambayo inashiriki katika michuano hiyo ya Mapinduzi Cup jana ilishinda mchezo huo ambapo katika kipindi cha pili katika dakika ya 85 walipata goli la pili lilofungwa na mchezaji Pius Kisambale ambaye alifunga bao hilo na hivyo kuifanya yanga kuondoka na ushindi wa mabao 2-0
Kabla ya mchezo wa hapo jana Mabingwa hao wasoka Tanzania bara wanaoshiriki kombe la mapinduzi tayari wamefungwa na timu ya Mafunzo bao 1-0 katika michuano hiyo inayoendelea huko katika uwanja wa Amani mijini Zanzibar ambao ni mabingwa wa soka wa Zanzibar
Habari tulizozipata kutoka vyanzo mbali mbali vya habari ni kwamba timu ya yanga inarajia kuongeza nguvu katika mashindano hayo kwa kuleta wachezaji wengine wa timu hiyo ya Darsalaam
Huku ikiwa Mabingwa hao wa soka wa Tanzania bara wakiwa wameshinda mechi hiyo hapo jana mahasimu wao simba na mabingwa wa kombe hilo juzi walipoteza mchezo kwa kufungwa mabao 2-1 na timu ya Jamhuri yenye maskani yake Kisiwani Pemba
Kwa kufanyika kwa mashindano haya kuadhimisha miaka 48 ya mapinduzi ya Zanzibar yamekuja katika kipindi muafaka kwani kati ya timu zinashiriki mashindano hayo timu ya yanga simba Jamhuri Mafunzo ni mashindano ambayo yatawasaidia sana kwani ni timu zinazotuwakilisha katika mashindano mbali mbali
Timu ya Yanga ambao ni mabingwa Tanzania bara wanatukilisha katika klabu bingwa ya Afrika ambapo timu ya simba inashiriki katika kombe la shiriisho wakati timu ya Mafunzo mabingwa wa soka wa Zanzibar wanashiriki klabu bingwa ya Afrika ambapo Jamhuri ambao ni makamo bingwa wa ligi ya Zanzibar wanatuwakilisha katiksa kombe la shirikisho
Katika sherehe hizi za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar timu zinazoshiriki mashindano hayo ni pamoja na Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara timu ya Yanga Simba na Azamu ambazo zote hizi zipo jijini Darsallm huku timu ya Jamhuri Kikwajuni Miembeni United kmkm ni kutoka zanzibar .Inatoka kwa mdau mjengwa.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. SÅ‚awomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...