Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa pili kushoto) akiwa pamoja na
wabunifu wenzake wa mavazi watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red
2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli
ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu
wa mavazi mama Asia Idarous (wa tatu kushoto) akiwa pamoja na
wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded
linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous akitoa maelekezo kwa wabunifu
wenzake wa mavazi na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady
in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika
hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa
kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous akiwa na mbunifu mwenzake Gymkhana
Hilali a.k.a Paka Wear pamoja na wanamitindo watakaoshiriki katika
onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari
2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo
linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi
yao.
Mbunifu
wa mavazi Gymkhana Hilali a.k.a Paka Wear akiongea na wanamtindo
watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded
linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu
wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao. (Picha zote na C. A. Kajuna,
Comments