Aliyekuwa
mwanamuziki wa Bendi African Stars ..Twanga na Kupepeta Charles Gabriel
- Charls Baba ametangaza Rasmi kujiondoa katika bendi hiyo,
Mwimbaji huyo aliyasema hayo jana katika Mgahawa wa Hadee's zamani Food World Dar es Salaam.Katika tukio hilo mwanamuziki huyo alimtangaza Meneja wake mpya bwana Bernard Msekwa,ambaye kuanzia sasa ndiye atakayesimamia mikataba yote.

Comments