Hi
Niaje mambo vipi?
nimeachia ngoma mpya inayoitwa "Taking over" feat Soprano producer ni "Mbezi" na studio iliyorekodi ni dhahabu records video ya Taking ova inakuja soon na itafanywa na Adam juma wa visual lab.

Hayo hapo juu ndiyo yalikua manene ya Nyota huyo wa Bongofleva leo asubuhi kwenye email yangu.
Comments