Skip to main content

RAIS JAKWAYA KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI TAFRIJA YA MWAKA MPYA - SHERRY PARTY, IKULU JIONI HII


Rais Dk. Jakaya Kikwete akiongea na mabalozi mbalimbali aliowakaribisha katika tafrija ya kuukaribisha Mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi katika tafrija ya mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es salaam leo PICHA NA IKULU

Comments