Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya BG Group, Ofisini
kwake jijini Dar es salam Januari 10, 2012. Kutoka kushoto ni Afisa
Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mkuu, Martin Houston,Makamu wa Rais wa Kanda ya Afrika, na Asia Kusini, Sam Iskander na Meneja wa Tanzania, Matt Wilks. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments