Sisi
kama TETEMESHA RECORDZ tumejiwekea malengo ya kuwa tunajaribu kutafuta
wasanii wachanga kabisa lakini wenye vipaji na kuwapika kisha
kuwatambulisha katika music industry hapa TZ.Tulianza na HUSSEIN
MACHOZI, akafuata SAJNA na sasa ni zamu ya msanii mwingine mpya C-SIR
MADINI kutoka Mwanza Na sasa tumeshamtambulisha kwenu PETER MPONEJA, na
jina lake lingine la nyumbani ni MASISA, hilo MASISA lilikuwa jina la
babu yake, na kutoka katika hilo ndio akaamua kulifupisha kuwa SISA na
ndilo anatumia katika muziki lakini katika matumizi ya Muziki litakuwa
likiandikwa C-SIR.Katika wimbo wake wa kwanza ambao umeshaanza kupata
mafanikio makubwa tunajiandaa kukamilisha album yake ya kwanza ambayo
bado tunaendelea kuirekodi. Video ya wimbo huu imekwishafanyika chini
ya ADAM JUMA wa NEXT LEVEL ambayo mpaka sasa imepokelewa
vyema.Tunakurukuru sana mdau kwa kupokea kazi zetu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments