Mwanamuziki Danniel
Kamili “dani wa msimamo yuko katika hatua za mwisho ili kukamilisha
video ya wimbo wake Sipapasi.wimbo ambao mpaka sasa unazidi kufanya
vizuri katika vituo mbalimbali vya radio nchini.”nipo katika harakati
za kuendeleza harakati ili kupata mafanikio katika muziki huu wa kizazi
kipya wanyonyaji wachache wanafaidika kwa kazi zetu..zaii ya hapo
alisistiza video ya wimbo huo kuwa itakuwa na ubora wa aina yake ,wadau
wakae mkao wa kula kuipokea ,ngoma hiyo ambayo ina ubora wa kimataifa.…Inatoka Pro24.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments