
Rais
Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu
Mstaafu Mh Frederick Sumaye, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara Mh Pius
Msekwa na wao mbolezaji wengine kwenye mazishi ya Mwenyekitiwa Jumuiya
ya Wazazi Taifa Balozi Athumani Mhina kijijini Mnyuzi, Korogwe, mkoani
Tanga leo Jumatano January 4, 2012

Waziri Mkuu Mstaafu Mh Frederick Sumaye akiweka udongo kaburini

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mh Pius Mzekwa akiweka udongo kaburini

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akiweka udongo kaburini

Rais Kikwete akiweka udongo kaburini

Rais Kikwete akiongozana na viongozi wengine kuelekea kaburini

Mwili wa balozi Athman Muhina ukkihifadhiwa katika nyumba ya milele.

Wanafamilia ndugu jamaa na marafiki wakilia kwa uchungu mkubwa.
Mwili wa Balozi Balozi Athumani Mhina ukiombewa kabla ya kuelekea katika mazishi.Inatoka kwa mdau fullshangwe.
Comments