Jina la kuzaliwa Corey Woods
Asili yake New York City, New York, United States
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1993 - mpaka sasa
Studio Loud, Universal, Aftermath, EMI
Legion of D.O.O.M.
Ameshirikiana na Wu-Tang Clan
Tovuti www.myspace.com/raekwon
Asili yake New York City, New York, United States
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1993 - mpaka sasa
Studio Loud, Universal, Aftermath, EMI
Legion of D.O.O.M.
Ameshirikiana na Wu-Tang Clan
Tovuti www.myspace.com/raekwon
Corey Woods ni msanii wa rap na hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Raekwon (pia huitwa "Raekwon the Chef"). Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip la Wu-Tang Clan. Alitoa albamu yake ya kwanza akiwa kama msanii wa kujitegemea mnamo mwaka wa 1995. Albamu ilikwenda kwa jina la Only Built 4 Cuban Linx..., na akaendelea kufanya shughuli zake akiwa kama msanii wa kujitegemea huku akiwa na washikaji zake wa Wu-Tang Clan. Mnamo mwaka wa 2009, Raekwon ametoa toleo la pili la albamu yake ya kwanza na kuipa sifa ileile, Only Built 4 Cuban Linx... Pt. II.
Comments